Nenda kwa yaliyomo

Abd al-Azim Anis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'Abd al-'Azim 'Anis (1923-2009) alikuwa mhakiki mashuhuri wa masuala ya utamaduni nchini Misri na mfuasi wa misingi ya Kimarx aliyekuwa akishirikiana na Chama cha Kikomunisti cha Misri. Abd alizuiliwa katika magereza ya Misri kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 1960 kutokana na harakati zake za kisiasa. 'Anis alitoa wito wa "umoja wa nguvu zote za kizalendo na kimaendeleo ikiwemo, bila shaka, wakomunisti wa Kiarabu."[1][2][3]

  1. Hourani, Albert (1991). A History of the Arab Peoples. Cambridge, MA: Belnap Press of Harvard University Press.
  2. Fathi, Ibrahim. "The political autobiography of 'Abd al-'Azim Anis." Alif: Journal of Comparative Poetics, no. 22, annual 2002, p. 212.
  3. عمرواني, فاروق (1995). النقد والايديولوجيا : بحث في تأثير الواقعية الاشتراكية في النقد العربي الحديث من خلال اعمال محمد مندور ومحمود امين العالم وعبد العظيم انيس وحسين مروة (kwa Arabic). Tunis: Kullīyat al-ʻUlūm al-Insānīyah wa-al-Ijtimāʻīyah.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abd al-Azim Anis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.