Nenda kwa yaliyomo

Abba Samuel Wolde Kahin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abba Samuel Wolde Kahin (pia akijulikana kama Walda Kahen) alikuwa mwalimu na mlezi wa Ras Tafari Makonnen (ambaye baadaye akawa Mfalme Haile Selassie I) na binamu yake, Ras Imru Haile Selassie, wakati wawili hao walipokuwa watoto wakiishi Harar, mnamo mwaka 19021912.[1]

  1. H.G. Marcus, Haile Selassie I: The Formative Years, 1892-1936, p. 7.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abba Samuel Wolde Kahin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.