Aaron Wan-Bissaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aaron Wan-Bissaka
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaUfalme wa Muungano Hariri
Nchi anayoitumikiaJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Uingereza Hariri
Jina katika lugha mamaAaron Wan-Bissaka Hariri
Jina halisiAaron Hariri
Jina la familiaWan-Bissaka Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa26 Novemba 1997 Hariri
Mahali alipozaliwaCroydon Hariri
Lugha ya asiliKiingereza Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timufull back Hariri
AlisomaOasis Academy Shirley Park Hariri
Muda wa kazi2016 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoCrystal Palace F.C., Manchester United F.C., DR Congo national under-20 football team, England national under-20 association football team, England national under-21 association football team Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Ameshiriki2017–18 Premier League, 2018–19 Premier League, 2019 UEFA European Under-21 Championship qualification Group 4, 2019 UEFA European Under-21 Championship Hariri

Aaron Wan-Bissaka (alizaliwa 26 Novemba 1997) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza katIKa klabu Manchester United ya Ligi Kuu ya Uingereza .

Wan-Bissaka alianza kazi yake na timu Crystal Palace na aliitwa kama Mchezaji bora wa Mwaka wa Klabu hiyo kwa msimu wa 2018-2019. Alisaini mkataba kujiunga na timu ya Manchester United mwezi Juni 2019.

Wan-Bissaka ana asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na alionekana mmoja Wa wachezaji wa timu Kongo chini ya miaka 20 mwaka 2015. Ameshawahi kuiwakilisha nchi yake, kwenye mashindano , chini ya ngazi ya umri wa miaka 21.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aaron Wan-Bissaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.