Aabenraa
Mandhari

Aabenraa (jer. Apenrade) ni mji nchini Denmark unaopatikana katika mkoa wa Syddanmark.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 59,974. Aabenraa ni kitovu cha jumuiya yenye lugha za Kijerumani katika Denmark[1].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ The German Minority in Denmark, tovuti ya Nordschleswig.dk
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Denmark bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Aabenraa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |