Aabed-El ben Asher ben Matzliach
Mandhari
Aabed-El ben Asher ben Matzliach (pia anajulikana kama Abdullah Wassef Tawfiq; alizaliwa Nablus, 1935) ndiye Kuhani Mkuu wa sasa wa Wasamaria. Alichukua wadhifa huo tarehe 19 Aprili 2013. Kulingana na utamaduni wa Wasamaria, ndiye kuhani mkuu wa 133 tangu Haruni na kwa mujibu wa desturi za Wasamaria, atakapokufa, wadhifa huo utahamishiwa kiotomatiki kwa mzao mkubwa zaidi wa Ithamari aliyesalia. Aabed-El ameoa na ana wana wa kiume wawili na mabinti wawili. [1] [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "High Priests of the Israelite Samaritans from 1624 CE to the Present Day". Israelite Samaritan Information Institute (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2 Desemba 2018. Iliwekwa mnamo 2020-04-12.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "The Samaritan Update" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-09-30.