A Flair for the Dramatic
Mandhari
A Flair for the Dramatic ni albamu ya kwanza ya studio ya bendi ya rock ya Marekani Pierce the Veil, iliyoachiliwa rasmi mwaka 2007 na Equal Vision Records. Ilitolewa mnamo Juni 26, 2007, kufuatia kuvunjika kwa bendi ya kwanza ya Vic na Mike Fuentes.
Albamu hiyo ina nyimbo kumi na moja na wimbo wa ziada kwenye toleo linalo patikana iTunes. Ni albamu ya kwanza ambayo wanamuziki walitoa kupitia studio za Equal Vision Records. Pia ni albamu pekee ambayo Pierce the Veil walirekodi bila Jaime Preciado (bass) na Tony Perry (guitar).
| Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu A Flair for the Dramatic kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |