AFI's 100 Years…100 Stars

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

AFI's 100 Years...100 Stars ni orodha ya waigizaji filamu gwiji wa Marekani, 25 wa kiume na 25 wa kike. Orodha hii ilitolewa na Taasisi ya Filamu Marekani mnamo 16 Juni 1999 kwenye kipindi maalumu cha CBS ambacho kilitangazwa na Shirley Temple, kukiwa na uwakilishi wa waigizaji hawa 50.

Filamu 100 za Kimarekani ni orodha ya filamu 100 bora zaidi za nchi hiyo, kama ilivyobainishwa na Taasisi ya Filamu ya Marekani kutokana na kura ya maoni ya wasanii na viongozi zaidi ya 1,500 katika tasnia ya filamu waliochagua kutoka orodha ya filamu 400 zilizoteuliwa. Orodha ya filamu 100 bora zaidi za Marekani ilizinduliwa mwaka wa 1998. AFI ilitoa orodha iliyosasishwa mwaka wa 2007.

Orodha[hariri | hariri chanzo]

# Magwiji wa Kiume # Magwiji wa Kike
1. Humphrey Bogart 1. Katharine Hepburn
2. Cary Grant 2. Bette Davis
3. James Stewart 3. Audrey Hepburn
4. Marlon Brando 4. Ingrid Bergman
5. Fred Astaire 5. Greta Garbo
6. Henry Fonda 6. Marilyn Monroe
7. Clark Gable 7. Elizabeth Taylor
8. James Cagney 8. Judy Garland
9. Spencer Tracy 9. Marlene Dietrich
10. Charlie Chaplin 10. Joan Crawford
11. Gary Cooper 11. Barbara Stanwyck
12. Gregory Peck 12. Claudette Colbert
13. John Wayne 13. Grace Kelly
14. Laurence Olivier 14. Ginger Rogers
15. Gene Kelly 15. Mae West
16. Orson Welles 16. Vivien Leigh
17. Kirk Douglas 17. Lillian Gish
18. James Dean 18. Shirley Temple
19. Burt Lancaster 19. Rita Hayworth
20. The Marx Brothers 20. Lauren Bacall
21. Buster Keaton 21. Sophia Loren
22. Sidney Poitier 22. Jean Harlow
23. Robert Mitchum 23. Carole Lombard
24. Edward G. Robinson 24. Mary Pickford
25. William Holden 25. Ava Gardner

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]