Nenda kwa yaliyomo

A. I. Sabra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdelhamid Ibrahim Sabra (192418 Desemba 2013) alikuwa profesa wa historia ya sayansi, akibobea katika historia ya optima na sayansi katika ulimwengu wa Kiislamu wa zama za kati. Sabra alifanya tafsiri ya Kiingereza na kutoa maelezo ya kina kwa Kitabu cha I mpaka cha III cha kazi maarufu ya Ibn al-Haytham yenye vitabu saba, Kitab al-Manazir, kilichoandikwa kwa Kiarabu katika karne ya 11. [1]

  1. Sabra, A. I. (1989). The Optics of Ibn al-Haytham. Books I–II–III: On Direct Vision. London: The Warburg Institute, University of London. ISBN 0-85481-072-2.
    • Sabra also produced an Arabic edition of books IV-V: The Optics of Ibn al-Haytham. IV-V: On Reflection and Images Seen by Reflection. Two volumes: I: Text, Introductions, Concordance Tables; II: Apparatus, Diagrams, Appendices, Analytical Index, Plates. 760pp. Kuwait: The National Council for Culture, Arts and Letters, 2002.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu A. I. Sabra kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.