97
Mandhari
(Elekezwa kutoka 97 BK)
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 1 KK |
Karne ya 1
| Karne ya 2
| ►
◄ |
Miaka ya 60 |
Miaka ya 70 |
Miaka ya 80 |
Miaka ya 90
| Miaka ya 100
| Miaka ya 110
| Miaka ya 120
| ►
◄◄ |
◄ |
93 |
94 |
95 |
96 |
97
| 98
| 99
| 100
| 101
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 97 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 28 Oktoba - Kaisari Nerva wa Roma amteua Traiano kama mfuasi wake kwa kusudi la kuzuia uasi wa kijeshi.
- Koloni ya Curculum yaanzishwa na Waroma wa Kale huko Numidia - leo ni mji wa Djemila katika Aljeria.
- Halmashauri ya sanhedrini ya Jamnia pamoja na cheo cha Nasi yatambuliwa na Kaisari Nerva kama mwakilishi wa Wayahudi katika Dola la Roma.
- Jeshi la China lafika Bahari ya Kaspi likiongozwa na jemadari Ban Chao na kuanzisha ubalozi katika Parthia lakini haiendelei hadi eneo la Roma jinsi ilivyokusudiwa.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- Mnamo 97: Timotheo aliyekuwa mwanafunzi wa Mtume Paulo
- Mnamo 97: Tito aliyekuwa mwanafunzi wa Mtume Paulo
