4 Baruku
Mandhari
4 Baruku (au Maandishi yaliyobaki ya Yeremia[1]) ni kitabu cha kale ambacho hakikukubaliwa kama Neno la Mungu, isipokuwa na Wakristo Waorthodoksi wa Mashariki wa Ethiopia na Eritrea. Kiliandikwa mwaka 136 hivi, ingawa kinajidai kuandikwa na nabii Baruku.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Baruku kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |