Nenda kwa yaliyomo

3 Henoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

3 Henoko ni kitabu cha kale kilichoandikwa kwa mtindo wa kiapokalipti lakini hakikukubaliwa kama Neno la Mungu. Kiliandikwa kwa Kiebrania katika karne ya 2 hadi karne ya 6.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Charlesworth, James H., mhr. (1983). "(Hebrew Apocalypse of) Enoch (Fifth to Sixth Century A.D.)". The Old Testament Pseudepigrapha. Juz. la 1: Apocalyptic Literature and Testaments. Ilitafsiriwa na Alexander, Philip S. Peabody, Massachusetts: Hendrickson Publishers. ku. 223–316. ISBN 978-1598564914.
  • Evans, Craig A., mhr. (1992). Noncanonical writings and New Testament Interpretation. Peabody, Massachusetts: Hendrickson Publishers. ISBN 0-943575-95-8.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 3 Henoko kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.