Nenda kwa yaliyomo

3 Baruku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

3 Baruku (au Ufunuo wa Kigiriki wa Baruku) ni kitabu cha kale kilichoandikwa kwa mtindo wa kiapokalipti lakini hakikukubaliwa kama Neno la Mungu. Kiliandikwa kati ya mwaka 70 na karne ya 3[1], ingawa kinajidai kuandikwa na nabii Baruku.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Charlesworth, James H., mhr. (2007). The Old Testament Pseudepigrapha, Volume 1: Apocalyptic Literature and Testaments. New Haven, Conn.: Yale University Press. ISBN 978-0300140194.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 3 Baruku kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.