Tuzo za Muziki za Metro FM za 15

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka 15th Metro FM Music Awards)

Tuzo za Muziki za Metro FM ni sherehe ya Tuzo ambayo inasherekea ubora wa tasnia ya Muziki wa Afrika Kusini kwa kuwatunuku Wanamuziki waliofanya vyema Sana katika uwanja Wao kwa mwaka mzima wa 2015.Kipindi icho kilionyeshwa kwa Mara ya kwanza mnamo tarehe 27 Februari 2016 kwenye SABC 1.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "METRO%20FM%20ANNOUNCES%20NOMINEES%20FOR%20THE%2015th%20METRO%20FM%20MUSIC%20AWARDS - METROFM". www.metrofm.co.za. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-30. Iliwekwa mnamo 2016-01-24.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)