Österåker
Mandhari

Österåker ni manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 37,879 (mwaka 2005).
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Eneo lake ni 322.25 km². Iko kando ya Bahari ya Baltiki. Umbali na Jiji la Stockholm ni 50 km.
-
Stesheni ya treni katika Österåker
-
Tunaborgen
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- www.osteraker.se Ilihifadhiwa 13 Agosti 2010 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Österåker kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |