Érick Gutiérrez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Érick Gutiérrez

Érick Gutiérrez (alizaliwa 15 Juni 1995) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Mexiko ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Pachua.

Mexico U-23[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 18 Septemba 2015, Gutiérrez alichaguliwa na kocha Raul Gutierrez kucheza katika michuano ya olimpiki ya CONCACAF mwaka 2015.

Pia alichaguliwa kuwakilisha Mexiko katika michezo ya Olimpiki ya Summer ya mwaka 2016 huko Rio de Janeiro, Brazil. Tarehe 7 Agosti, alifunga magoli 4 na Mexiko kushinda 5-1 .

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Érick Gutiérrez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.