Nenda kwa yaliyomo

Érard de la Marck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Érard de la Marck (31 Mei 147218 Machi 1538) alikuwa Askofu mkuu wa Liège kuanzia mwaka 1506 hadi 1538. Alizaliwa mjini Sedan, Ardennes, akiwa mwana wa tatu wa Robert I de la Marck, bwana wa Sedan na Bouillon.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.