Nenda kwa yaliyomo

Émile Biayenda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Émile Biayenda (192723 Machi 1977) alikuwa Askofu Mkuu wa Brazzaville, Jamhuri ya Kongo, kuanzia 1971 hadi 1977 na pia kardinali wa Kanisa Katoliki.

Alizaliwa mwaka 1927 huko Mpangala, Vindza. Alipadrishwa mwaka 1958 na kuwekwa wakfu kama askofu mwaka 1970. Aliteuliwa kuwa kardinali na Papa Paulo VI mwaka 1973. Aliuawa mwaka 1977.

Mchakato wa kumtangaza mtakatifu umeanza – sasa ana cheo cha Mtumishi wa Mungu baada ya kuanzishwa kwa mchakato huo mwaka 1995 chini ya Papa Yohane Paulo II.[1][2]

  1. Gislain Wilfrid Boumba, "36ème anniversaire de la mort du cardinal Emile Biayenda : Le prélat vénéré à travers une neuvaine nationale", La Semaine Africaine, 22 March 2013 (in French).
  2. "archdiocese of Brazzaville commemorates Cardinal Emile Biayenda abducted and murdered 27 years ago". Agenzia Fides. 24 Machi 2004. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.