Nenda kwa yaliyomo

Éamonn Walsh (askofu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Éamonn Oliver Walsh (alizaliwa 1 Septemba 1944) ni askofu mstaafu wa Kanisa Katoliki kutoka Ireland.

Alihudumu kama askofu msaidizi wa Dublin kuanzia 1990 hadi 2019.[1]

  1. Mac Donald, Sarah (2019-10-01). "Pope Francis accepts Bishop Eamonn Walsh's resignation". CatholicIreland.net (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-03-22.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.