Çankırı

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:46, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q209925 (translate me))

Çankırı ni mji mkuu wa Mkoa wa Çankırı, nchini Uturuki. Takriban 140 km (87 mi) kutoka kaskazini-mashariki mwa mji wa Ankara. Mji upo katika maeneo yenye mambonde ya maji, karibuni m. 800 (na ft 2500) kwa mapolomoko.[1]

Marejeo ya Nje

  1. Ptol., v. 4. § 5

Viungo vya Nje

Tovuti Rasmi ya Mji


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Çankırı kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.