Ángel Sixto Rossi
Mandhari

Ángel Sixto Rossi S.J. (alizaliwa 11 Agosti 1958) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Argentina ambaye amekuwa askofu mkuu wa Córdoba tangu mwaka 2021. Rossi ni mwanachama wa Shirika la Yesu (Wajesuiti) tangu mwaka 1976.
Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali tarehe 30 Septemba 2023.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Padre Ángel Rossi". Encuentro Anual ACDE (kwa Kihispania). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-07-29. Iliwekwa mnamo 11 Julai 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |