Álvaro del Portillo
Mandhari
Álvaro del Portillo y Diez de Sollano (1 Machi 1914 – 23 Machi 1994) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki na mhandisi kutoka Uhispania, ambaye alihudumu kama kiongozi wa Opus Dei kuanzia mwaka 1982 hadi 1994.
Viongozi wa Kanisa, akiwemo Papa Yohane Paulo II na Kardinali Carlo Caffarra, walimsifu Portillo kama mtumishi mwaminifu wa Mungu. Papa Yohane Paulo II alimrejelea kama "mtumishi mwema na mwaminifu," huku Caffarra akimuita "mwanafunzi wa Kristo.[1][2]
Papa Fransisko alimtangaza mwenye heri tarehe 27 Septemba 2014.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Coverdale, John F. Saxum: The Life of Alvaro del Portillo
- ↑ "Portillo y Diez de Sollano, Alvaro del, 1914-1994 | Prelaturas, Ordinariatos y otras circunscripciones personales - Prelaturas, Ordinariatos y otras circunscripciones personales". prelaturaspersonales.org. 28 Januari 2013. Iliwekwa mnamo 28 Mei 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |