Nenda kwa yaliyomo

Álvaro Leonel Ramazzini Imeri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Álvaro Leonel Ramazzini Imeri (amezaliwa 16 Julai 1947) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Guatemala ambaye amekuwa Askofu wa Huehuetenango tangu mwaka 2012. Kabla ya hapo, alihudumu kama Askofu wa San Marcos kuanzia 1988 hadi 2012.

Papa Fransisko alimpandisha hadhi kuwa kardinali tarehe 5 Oktoba 2019.[1]

  1. "Bishop Alvaro Leonel Ramazzini Imeri". Catholic-Hierarchy. Iliwekwa mnamo 2011-10-02.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.