Nenda kwa yaliyomo

Judy Garland : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Muddyb (majadiliano | michango)
sawazisho dogo tu
Mstari 82: Mstari 82:
*{{tcmdb name | id=68689 | name=Judy Garland }}
*{{tcmdb name | id=68689 | name=Judy Garland }}
*{{ibdb name|id=79610|name=Judy Garland}}
*{{ibdb name|id=79610|name=Judy Garland}}
*[http://www.oldiesmusicguide.tk Judy Garland Page On The Oldies Music Guide]
*[http://www.oldiesradio.tk Judy Garland On The Oldies Radio Station]
*[http://www.encyclopedia.com/doc/1E1-GarlandJ.html Judy Garland at HighBeam]
*[http://www.jgdb.com The Judy Garland Database]
*[http://www.thejudyroom.com The Judy Room]
*[http://www.judy-garland.org/discography/index.html The Judy Garland Online Discography]
*[http://judygarlandmuseum.com/ The Judy Garland Birthplace and Museum in Grand Rapids, MN]
*[http://www.judygarlandclub.org The Judy Garland Club: established 1963; official international Club supported by Judy during her lifetime]
* [http://rainbowz.deltacomm.com/ Judy Garland - The Live Performances]
* [http://www.pbs.org/wnet/americanmasters/database/garland_j.html Judy Garland: By Myself - American Masters special]
* {{tvtome person|id=86783|name=Judy Garland}}


{{DEFAULTSORT:Garland, Judy}}
{{DEFAULTSORT:Garland, Judy}}

Pitio la 22:54, 28 Desemba 2011

Judy Garland

Amezaliwa Frances Ethel Gumm
(1922-06-10)Juni 10, 1922
Grand Rapids, Minnesota, U.S.
Amekufa 22 Juni 1969 (umri 47)
Chelsea, London, U.K.
Kazi yake Mwigizaji
Mwimbaji
Miaka ya kazi 1924-1969 (mwimbaji)
1929-1967 (mwigizaji)
Ndoa David Rose (1941–1944)
Vincente Minnelli (1945–1951)
Sid Luft (1952–1965)
Mark Herron (1965–1967)
Mickey Deans (1969, yake ya kifo)

Judy Garland (alizaliwa tar. 10 Juni, 1922 - 22 Juni, 1969) alikuwa mwigizaji filamu na mwimbaji kutoka nchini Marekani.[1]

Uhusika wake maarufu ni ule wa Dorothy Gale kutoka katika filamu ya The Wizard of Oz (1939). Pia ni mshindi wa Tuzo za Oscar na ameshinda tuzo zingine kadha wa kadha kwa ajili ya shughuli zake za uigizaji na uimbaji. Huyu ni mama wa mwigizaji na mwimbaji Liza Minelli.

Mwaka wa 1999, Taasisi ya Filamu ya Marekani imempa nafasi ya kumi katika orodha ya waigizaji nyota wa Marekani na historia yake kwa ujumla.[2]

Filamu

  • 1929 - The Big Revue
  • 1929 - A Holiday in Storyland
  • 1929 - The Wedding of Jack and Jill
  • 1929 - Bubbles
  • 1935 - La Fiesta de Santa Barbara
  • 1936 - Every Sunday
  • 1936 - Pigskin Parade
  • 1937 - Broadway Melody of 1938
  • 1937 - Thoroughbreds Don't Cry
  • 1937 - Silent Night
  • 1938 - Everybody Sing
  • 1938 - Love Finds Andy Hardy
  • 1938 - Listen, Darling
  • 1939 - The Wizard of Oz
  • 1939 - Babes in Arms
  • 1940 - If I Forget You
  • 1940 - Andy Hardy Meets Debutante
  • 1940 - Strike Up the Band
  • 1940 - Little Nellie Kelly
  • 1941 - Ziegfeld Girl
  • 1941 - Life Begins for Andy Hardy
  • 1941 - Babes on Broadway
  • 1941 - We Must Have Music
  • 1942 - For Me and My Gal
  • 1943 - Presenting Lily Mars
  • 1943 - Girl Crazy
  • 1943 - Thousands Cheer
  • 1944 - Meet Me in St. Louis
  • 1945 - The Clock
  • 1946 - The Harvey Girls
  • 1946 - Ziegfeld Follies
  • 1946 - Till the Clouds Roll By
  • 1948 - The Pirate
  • 1948 - Easter Parade
  • 1948 - Words and Music
  • 1949 - In the Good Old Summertime
  • 1950 - Summer Stock
  • 1954 - A Star Is Born
  • 1960 - Pepe
  • 1961 - Judgment at Nuremberg
  • 1963 - Gay Purr-ee
  • 1963 - A Child Is Waiting
  • 1963 - I Could Go On Singing

Marejeo

  1. "Judy Garland: Biography". TV Guide. Iliwekwa mnamo 2011-12-23.
  2. AFI's 100 YEARS...100 STARS.

Viungo vya Nje

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Judy Garland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.