Romania : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.5) (roboti Nyongeza: su:Romania
census
Mstari 21: Mstari 21:
|percent_water = 3
|percent_water = 3
|population_estimate_year = Julai 2006
|population_estimate_year = Julai 2006
|population_estimate = 22,303,552 <!--2006 CIA estimates: https://www.cia.gov/cia/publications/factbook/geos/ro.html-->
|population_estimate =
|population_estimate_rank = ya 50 <!--UN ranking-->
|population_estimate_rank = ya 50 <!--UN ranking-->
|population_census_year = 2002
|population_census_year = 2011
|population_census = 19,599,506<ref>http://www.agerpres.ro/english/index.php/news-of-the-day/item/89649-Almost-196-ml-people-registered-in-Romanias-Population-and-Homes-Census.html</ref>
|population_census = 21,680,974
<ref>http://www.insse.ro/cms/files%5Cstatistici%5Ccomunicate%5CRPL%5CInformare_1nov2011.pdf</ref>
|population_density = 91
|population_density = 82
|population_densitymi² = 236 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|population_densitymi² = 236 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|population_density_rank = ya 104
|population_density_rank = ya 104

Pitio la 18:08, 3 Novemba 2011

Romania

Romania (Kiromania: Româna) ni nchi ya Ulaya ya kusini-mashariki. Imepakana na Hungaria, Serbia, Ukraine, Moldova na Bulgaria. Kuna pwani kwenye Bahari Nyeusi. Romania ina wakazi milioni 23 katika eneo la 238.391 km², mji mkuu ni Bukarest.

Lugha ya nchi ni Kiromania ambayo ni lugha ya Kirumi kama Kifaransa, Kiitalia na Kihispania.

Jiografia

Ramani ya Romania
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Romania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA