Nikola Tesla : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ia:Nikola Tesla
No edit summary
Mstari 42: Mstari 42:
* [http://www.tesla-museum.org Nikola Tesla Museum]
* [http://www.tesla-museum.org Nikola Tesla Museum]
* Tesla's Wardenclyffe Science Center Plaque [http://www2.timesreview.com/SUN/stories/S121109_Tesla_psh]
* Tesla's Wardenclyffe Science Center Plaque [http://www2.timesreview.com/SUN/stories/S121109_Tesla_psh]
* [http://www.nikolatesla.fr/documents.htm NikolaTesla.fr] - More than 1,000 documents on Tesla


{{BD|1856|1943|Tesla, Nikola}}
{{BD|1856|1943|Tesla, Nikola}}

Pitio la 10:35, 30 Septemba 2011

Nikola Tesla
Nikola Tesla
Nikola Tesla
Alizaliwa 10 Julai 1856 Austria-Hungaria
Alikufa 7 Januari 1943 New York
Nchi Austria-Hungaria, Marekani
Kazi yake muhandisi na mtaalamu wa fizikia

Nikola Tesla (10 Julai 18567 Januari 1943; Kiserbia: Никола Тесла) alikuwa mhandisi na mtaalamu wa fizikia kutoka milki ya Austria-Hungaria aliyehamia baadaye Marikani. Tesla alizaliwa katika familia ya Kiserbia, alisoma uhandisi akajishughulisha hasa na umeme na sumakuumeme.

1884 alihamia Marekani alipoajiriwa na Thomas Edison lakini baadaye alitoka katika kampuni yake.

Kati ya mengi aliyobuni au alipochangia ni

Stempu zilizotolewa kwa heshima ya Tesla

Nyumba alikozaliwa Tesla
Faili:Serbian 500din Tesla 1978-a king.jpg Faili:Serbia 1000din Tesla 1992-a king.jpg Faili:Serbia 10mlrd Tesla 1993-a king.jpg Faili:Serbia 5din Tesla 1994-a king.jpg


Viungo vya Nje

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA