Rania Al Abdullah : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 57: Mstari 57:
* [http://www.cnn.com/video/#/video/world/2007/10/26/blitzer.intv.queen.rania.cnn?iref=videosearch Wolf Blitzer interviews Jordan's Queen Rania, CNN, October 26, 2007]
* [http://www.cnn.com/video/#/video/world/2007/10/26/blitzer.intv.queen.rania.cnn?iref=videosearch Wolf Blitzer interviews Jordan's Queen Rania, CNN, October 26, 2007]
* [http://www.youtube.com/watch?v=pRyMxSS-KI0 Queen Rania on YouTube's "End Poverty - Be the Generation" video]
* [http://www.youtube.com/watch?v=pRyMxSS-KI0 Queen Rania on YouTube's "End Poverty - Be the Generation" video]
* {{en}} [http://www.jordanevents.net/2011/04/queen-rania-al-abdullah-wins-leadership.html Queen Rania Al-Abdullah Wins Leadership Award for Promoting Rights of Girls & Women]


[[Jamii:wazaliwa wa 1970]]
[[Jamii:wazaliwa wa 1970]]

Pitio la 00:02, 24 Agosti 2011

Rania Al Abdullah

Rania Al Abdullah Kiarabu: الملكة رانيا العبد اللهRānyā al-‘abdu l-Lāhalizaliwa mnamo Agosti 31 1970. Yeye ni mke wa Mfalme Abdullah II wa nchi ya Jordan.

Yeye anachukuliwa mojawapo ya wanawake majabari kote duniani[1]. Rania ametumia nguvu zake kuhimiza umuhimu wa elimu.

Nchini Jordan, kazi yake inahusu kutathmini kiwango cha elimu ya wanafunzi, na akiwa nje ya nchi anawahimiza viongozi kuhusu elimu.

Maisha ya kibinafsi

Rania Al-Yassin alizaliwa nchini Kuwait kutokamana na wazazi wa Kipalestina mjini Tulkarm. Alisoma shule ya msingi na ya upili katika New English School, Kuwait kisha akafuzu kwa shahada ya biashara kutoka chuo kikuu cha American University in Cairo. Alipofuzu, Rania alirudi Jordan na kufanya kazi kwenye benki ya Citibank, na baadaye akafanya kazi kwenye kampuni ya kompyuta iitwayo Apple Computer mjini Amman.[2]

Ndoa na watoto

Alikutna na Mfalme Abdullah bin Al-Hussein kwenye sherehe mnamo Januari 1993. Baada ya miezi miwili, alikuwa mhumba wake na walioana mnamo Juni 10, 1993. Wana watoto wanne:

  • Hussein bin Al Abdullah (alizaliwa Juni 28, 1994)
  • Iman bint Al Abdullah (alizaliwa Septemba 27, 1996)
  • Salma bint Al Abdullah (alizaliwa Septemba 26, 2000)
  • Hashem bin Al Abdullah (alizaliwa Januari 30, 2005)

Malkia wa Jordan

Ingawa mumewe alikuwa mfalme tangu Februari 7, 1999, Rania hakuwa malkia papo hapo. Mumewe alimtuza Umalkia mnamo Machi 22, 1999.[3]

Michelle Obama na Rania wakiwa kwenye ikulu ya White House mnamo 23 Aprili 2009

Jamii

Rania alianzisha tume ya Jordan River Foundation mnamo 1995 ambayo inaboresha familia na jamii maskini kwa kuwafundisha jinsi ya kuanzisha biashara.[4]

Mnamo 2009, Rania na mumewe walisherehekea miaka kumi ya ndoa yao kwa kuanzisha mashindano ya jamii (Ahel Al Himmeh) mnamo Machi ili kuwatuza watu ambao wamesaidia jamii yao.[5]

Tovuti

Rania anadai kuwa yeye ni mwanateknolijia ambaye unaweza kumpata kwenye tovuti kama YouTube, Facebook na Twitter.

YouTube

Mnamo Machi 2008, Rania alianzisha YouTube channel na kuwaalika watazamaji waulize maswali walionayo kuhusu Uislamu.[6]

Pia, ameweka mahojiano yake ya CNN kwenye YouTube, ambap alizungumzia kuhusu elimu.[7]

Facebook

Rania ni mshiriki wa Facebook ambapo ameweka picha zake akiwa nyumbani na akiwa hadharani. Hadi Desemba 17, 2009, alikuwa na mashabiki 110,000.

Twitter

Mnamo Juni 2009, Rania alishiriki kwenye mahojiano ya Twitter, alipojibu maswali matano kutoka kwa umma.[8]

Marejeo

Viungo vya nje