William Ngeleja
Mandhari
(Elekezwa kutoka William Mganga Ngeleja)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a9/William_Ngeleja_2010.jpg/220px-William_Ngeleja_2010.jpg)
William Mganga Ngeleja (amezaliwa tar. 5 Oktoba 1967) ni mbunge wa jimbo la Sengerema katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Mengi kuhusu William Mganga Ngeleja". 3 Julai 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-17. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
![]() |
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |