Gerson Hosea Malangalila Lwenge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Gerson Hosea Lwenge)

Gerson Hosea Malangalila Lwenge (alizaliwa tarehe 20 Februari 1951) ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania na ni mbunge wa jimbo la Njombe magharibi tangu mwaka 2010.[1]

Amechaguliwa kuwa mbunge wa Wanging'ombe kwa miaka 20152020. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Member of Parliament CV". Parliament of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Machi 2015. Iliwekwa mnamo 24 Februari 2013. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017