English: Askari Monument Daressalaam, Test plate Swahili in Latin letters:
HUU NI UKUMBUSHO WA
ASKARI WENYEJI WA AFRIKA
WALIOPIGANA KATIKA VITA KUU
NA NI UKUMBUSHO PIA WA
WAPAGAZI AMBAO WALIKUWA
MIGUU NA MIKONO YA MAJESHI
NI UKUMBUSHO PIA WA
WATU WOTE WALIOTUMIKA WAKAFA
KWA AJILI YA MFALME
NA NCHI YAO
KATIKA AFRIKA YA MASHARIKI
KWENYI VITA KUU
TOKA MWAKA 1914 MPAKA 1918
UKIIPIGANIA NCHI YAKO
UJAPO UMEKUFA
WATOTO WAKO
sifa – Ni lazima utoe mkopo unaofaa, utoe kiungo cha leseni, na uonyeshe ikiwa mabadiliko yalifanywa. Unaweza kufanya hivyo kwa njia yoyote inayofaa, lakini si kwa njia yoyote inayopendekeza mtoa leseni akuidhinishe wewe au matumizi yako.
shiriki sawa – Ukichanganya, kubadilisha, au kujenga juu ya nyenzo, lazima usambaze michango yako chini ya same or compatible license kama ya awali.
HUU NI UKUMBUSHO WA ASKARI WENYEJI WA AFRIKA WALIOPIGANA KATIKA VITA KUU NA NI UKUMBUSHO PIA WA WAPAGAZI AMBAO WALIKUWA MIGUU NA MIKONO YA MAJESHI NI UKUMBUSHO PIA WA WATU WOTE WALIOTUMIKA WAKAFA KWA AJILI YA MFALME NA NCHI YAO KATIKA AFRIKA YA MASHARIKI KWENYI VITA KUU TOKA MWAKA 1914 MPAKA 1918 UKIIPIGANIA NCHI YAKO UJAPO UMEKUFA WATOTO WAKO WATALIKUMBUKA JINA LAKO(Kiswahili)
Historia ya faili
Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.