Kandambili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kandambili za plastiki ni kati ya viatu vilivyoenea zaidi duniani.

Kandambili (pia: ndala; kwa Kiingereza "flip-flops" au "slipper") ni aina ya viatu vya wazi ambavyo hupatikana hasa katika hali ya hewa yenye joto, kwa mfano Afrika Mashariki.

Jina linatokana na kanda mbili zinazokutana karibu na kidole gumba na zinazowezesha kiatu kufuata mguu katika mwendo.

Kazi/faida za ndala[hariri | hariri chanzo]

  • Husaidia kujikinga na vitu vyenye ncha kali.
  • Husaidia kujikinga na joto la ardhi ambalo hufika kwa njia ya jua.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kandambili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.