Jarida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jarida ni ripoti iliyochapishwa yenye habari (taarifa) za matukio ya kibiashara ya shirika (taasisi, jumuia, chama) fulani (kwa mfano, jina la kisheria; namna ya kupata huduma, n.k.).

Jarida la namna hiyo hutumwa mara kwa mara kwa barua pepe kwa wanachama, wateja, waajiriwa au watu ambao wana nia nayo. Hivyo linaweza kutazamwa kama fasihi kijivu.

Jarida mara nyingi huwa na mada kuu kwa ajili ya wapokeaji wake.

Ona pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]