Bigijii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Chingamu)
Bigijii ndani ya chombo cha samawi.

Bigijii (pia: pipimpira, bazoka, jojo au chingamu kutoka Kiingereza: Chewing gum) ni chakula kinachotengenezwa ili kutafunwa tu, bila kumezwa.

Asili ya kitafunwa hicho ni ubani ambao hutiwa sukari ili kuleta ladha mdomoni kipindi cha kutafuna.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Okal, B. O. (2017). Uhakiki wa Fonimu na Miundo ya Silabi za Kiswahili. Kioo cha Lugha, 13(1).
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bigijii kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.