Zhuhai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la Zhuhai
Skyline ya Jiji la Zhuhai
Nchi China
Jimbo Guangdong
Website: www.zhuhai.gov.cn

Zhuhai (珠海市) ni mji wa China katika jimbo la Guangdong. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao milioni 1.4 wanaoishi katika mji huu.


ČLR-pahýl.png Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Zhuhai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.