Yuri wa Goguryeo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ufalme wa Korea Goguryeo |
|---|
|
Mfalme Yuri wa Goguryeo (? - 18 KK, au 19 KK - 18 KK) alikuwa mtawala wa pili wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea. Alikuwa mtoto wa kwanza wa mwanzilishi wa nchi Mfalme Dongmyeongseong. Kama jinsi watawala wengine wa awali wa Korea, matukio mengi ya maisha yake yamejulikana sana kutoka kwa Samguk Sagi.
Marejeo [hariri]
Tazama pia [hariri]
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yuri wa Goguryeo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |