Young Africans FC

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Nembo ya timu
Ofisi ya timu

Young Africans FC ni timu ya soka mjini Dar es Salaam.

Timu hiyo inashiriki Ligi Kuu ya Tanzania na kucheza michezo ya nyumbani saa Benjamin Mkapa, Uwanja wa Taifa.

YANGA ni bingwa wa ligi kuu ya soka ya Tanzania Bara mara 24, huku ikiwa pia ni bingwa tetezi.

Tena ni bingwa kwa mara 5 katika kombe la vilabu bingwa kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati yaani CECAFA.

Ni klabu yenye mashabiki wengi nchini Tanzania.

Baadhi ya wachezaji wa zamani ni pigo Shabani Nonda, Kali Ongala, Said Maulid na Ivo Mapunda.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Young Africans FC kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.