Yoichiro Nambu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yoichiro Nambu

Yoichiro Nambu (amezaliwa 18 Januari, 1921) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Japani aliyehamia Marekani baadaye na kukata uraia wa Marekani mwaka wa 1970. Hasa amechunguza chembe za atomu. Mwaka wa 2008, pamoja na Makoto Kobayashi na Toshihide Maskawa, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yoichiro Nambu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.