Yohane Wang Rui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yohane Wang Rui (Xinli 25 Februari 1885 - Taiyuan 9 Julai 1900) alikuwa mseminari Mfransisko wa Utawa wa Tatu aliyefia dini nchini mwake China wakati wa Uasi wa Waboksa.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 119.

Sikukuu yao huadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.