Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wizara ya Utamaduni na Utalii (Kituruki: Kültür ve Turizm Bakanlığı) ni ofisi ya wizara ya serikali ya Jamhuri ya Uturuki, inahusika na masuala ya utamaduni na utalii nchini Uturuki. Na kwa mwaka wa 2008, inaongozwa na Ertuğrul Günay.[1]

Marejeo [hariri]

  1. Ertuğrul Günay. Republic of Turkey Ministry of Culture and Tourism. Rudishwa juu ya 2008-07-22.

Viungo vya Nje [hariri]


Kigezo:Mbegu-Uturuki