William Modisane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William "Bloke" Modisane (28 Agosti 1923 - 1 Machi 1986) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Alianza kufanya kazi kama mwandishi wa habari kwa gazeti la Drum. Mwaka wa 1959 alihama Afrika Kusini akaendelea na kazi ya habari barani Ulaya. Alifariki nchini Ujerumani.

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

  • Blame Me on History (tawasifu, 1963)

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Modisane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.