Wilhelm Röntgen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilhelm Conrad Röntgen)
Wilhelm Röntgen

Wilhelm Conrad Röntgen (27 Machi 184510 Februari 1923) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anajulikana kwa ugunduaji wa mionzi ya eksirei. Mwaka wa 1901 alikuwa mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Elementi sintetiki ya Roentgeni ilipewa jina kwa heshima yake Roentgen.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wilhelm Röntgen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.