Wilaya ya Wanging'ombe
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Wanging'ombe ni wilaya moja ya Mkoa wa Njombe. Ilianzishwa mwezi wa Machi 2012. Makao makuu ni mji wa Igwachanya.
Kata [hariri]
Wilaya ya Wanging'ombe ilipoanzishwa, ikawa na kata 16: