Wilaya ya Urambo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Urambo (kijani) katika mkoa wa Tabora.

Wilaya ya Urambo ni wilaya moja ya Mkoa wa Tabora. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 370,796 [1].

Sehemu hii ilikuwa kiini cha utemi wa Urambo ambako mtemi Mirambo alijenga milki yake.

Marejeo [hariri]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Urambo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Urambo - Mkoa wa Tabora - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Ichemba | Igagala | Igombe Mkulu | Imalamakoye | Itundu | Kaliua | Kanindo | Kapilula | Kashishi | Kazaroho | Kiloleni | Milambo | Muungano | Mwongozo | Songambele | Ugunga | Ukondamoyo | Ukumbisiganga | Urambo | Ushokola | Usinge | Usisya | Usoke | Uyowa | Uyumbu | Vumilia