Wilaya ya Tanga
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Tanga katika mkoa wa Tanga.
Wilaya ya Tanga ni wilaya moja ya Mkoa wa Tanga nchini Tanzania. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Tanga ilihesabiwa kuwa 243,580 [1].
Wilaya hii ni hasa pamoja na mji wa Tanga ambao ni bandari muhimu ya Tanzania kaskazin ya Dar es salaam.
Marejeo [hariri]
| Kata za Wilaya ya Tanga - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Central (Tanga) • Chongoleani • Chumbageni (Tanga) • Duga • Kiomoni • Kirare • Mabawa (Tanga) • Mabokweni • Majengo (Tanga) • Makorora • Marungu • Maweni (Tanga) • Msambweni • Mwanzange • Mzingani • Mzizima (Tanga) • Ngamiani Kaskazini • Ngamiani Kati • Ngamiani Kusini • Nguvumali • Pongwe • Tangasisi • Tongoni • Usagara (Tanga) |
||