Wilaya ya Shinyanga Vijijini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Shinyanga Vijijini (kijani) katika mkoa wa Shinyanga.
Wilaya ya Shinyanga Vijijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Shinyanga. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 277,518 [1].
Marejeo[hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Shinyanga Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Shinyanga vjijini - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Didia | Ilola | Imesela | Iselamagazi | Itwangi | Lyabukande | Mwakitolyo | Mwamala (Shinyanga) | Mwantini | Pandagichiza | Salawe | Samuye | Solwa | Tinde | Usanda | Usule |
||