Wilaya ya Serengeti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Serengeti (kijani) katika mkoa wa Mara.

Wilaya ya Serengeti ni wilaya moja ya Mkoa wa Mara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 176,609 [1].

Sehemu kubwa ya wilaya ni eneo la hifadhi ya Serengeti iliyo mashuhuri kote duniani.

Makao makuu ya wilaya yapo Mugumu mjini.

Marejeo [hariri]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Serengeti - Mkoa wa Mara - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Busawe | Ikoma | Issenye | Kebanchabancha | Kenyamonta | Kisaka | Kisangura | Kyambahi | Machochwe | Manchira | Mugumu mjini | Natta | Nyamatare (Serengeti) | Nyambureti | Nyamoko | Rigicha | Ring'wani | Rung'abure


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Serengeti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.