Wilaya ya Pangani
Wilaya ya Pangani ni kati ya wilaya za Mkoa wa Tanga katika Tanzania.
Imepakana na wilaya ya Muheza upande wa Kazkazini, Wilaya ya Handeni upande wa magharibi, wilaya ya Bagamoyo (Mkoa wa Pwani) upande wa kusini na Bahari Hindi upande wa mashariki. Makao makuu ya wilaya yako Pangani mjini.
Wilaya ina wakazi 44,107 (2002) [1]. Kuna kata (au shehia, kwa Kiingereza ni Ward) zifuatazo (idadi ya wakazi katika mabano):
- Pangani Mashariki (3,079)
- Pangani Magharibi (4,949)
- Bweni (1,191)
- Madanga (3,096)
- Kimanga (2,974)
- Bushiri (Pangani) (4,348)
- Mwera (4,055)
- Tungamaa (2,025)
- Kipumbwi (4,124)
- Mikunguni (3,977)
- Ubangaa (2,314)
- Mkwaja (3,783)
- Mkalamo (4,201)
Marejeo na Viungo vya Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Pangani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Pangani - Mkoa wa Tanga - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Bweni • Bushiri (Pangani) • Kimanga • Kipumbwi • Madanga • Mikunguni (Pangani) • Mkalamo • Mkwaja • Mwera (Pangani) • Pangani Mashariki • Pangani Magharibi • Tungamaa • Ubangaa Katika kata ya Kipumbwi,shughuli kubwa ya uchumi ni Uvuvi. Pia kata hii ina vitongoji vitongoji vinne ambavyo ni Serewani,Kipumwbwi mtoni,Kipumwbwi mji mpya na Kipumbwi mji mpya. |
||