Wilaya ya Nyamagana
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Nyamagana ni wilaya moja kati ya mbili ndani ya Jiji la Mwanza kwenye Mkoa wa Mwanza. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 210,735 [1].
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Nyamagana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Nyamagana - Mkoa wa Mwanza - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Igogo • Isamilo • Kirumba • Kitangiri • Mbugani • Mirongo • Mkuyuni • Nyamagana • Nyamanoro • Pamba |
||