Wilaya ya Njombe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Njombe (kijani) katika mkoa wa Iringa kabla ya umegaji.

Wilaya ya Njombe ni wilaya moja ya Mkoa wa Njombe ulioanzishwa mnamo Machi 2012 kwa kumega mkoa wa Iringa upande wa kusini.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 420,348 [1].

Makao makuu ya wilaya na ya mkoa yapo Njombe Mjini.

Wenyeji asilia wa Njombe ni hasa Wabena.

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Njombe - Mkoa wa Iringa - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Idamba | Igongolo | Igosi | Ikondo | Ikuka | Ilembula | Imalinyi | Iwungilo | Kidegembye | Kifanya | Luduga | Lupembe | Luponde | Mahongole | Makambako | Matola | Mdandu | Mtwango | Njombe Mjini | Saja | Usuka | Uwemba | Wangama | Wanging'ombe | Yakobi


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Njombe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Njombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.