Wilaya ya Mufindi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Mufindi (kijani) katika mkoa wa Iringa.

Wilaya ya Mufindi ni wilaya moja ya Mkoa wa Iringa. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 283,082 [1].

Wilaya imepakana upande wa kaskazini na wilaya za Kilolo na Iringa Mjini, upande wa kusini na wilaya ya Njombe, upande wa mashariki na mkoa wa Morogoro na upande wa magharibi na Mkoa wa Singida.

Mufindi iko mlimani kuna baridi na mvua mwingi. Wilayani kuna mashamba makubwa ya chai.

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Mufindi - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bumilayinga | Idunda | Ifwagi | Igombavanu | Igowole | Ihalimba | Ihanu | Ihowanza | Ikweha | Isalavanu | Itandula | Kasanga | Kibengu | Kiyowela | Luhunga | Mafinga | Makungu | Malangali | Mapanda | Mbalamaziwa | Mdabulo | Mninga (Mufindi) | Mpanga Tazara | Mtambula | Mtwango | Nyololo | Rungemba | Sadani


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mufindi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.