Wilaya ya Mkoani
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Mkoani (kijani) katika mkoa wa Pemba Kusini.
Wilaya ya Mkoani ni wilaya moja ya Mkoa wa Pemba Kusini. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 92,802 [1].
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mkoani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Mkoani - Mkoa wa Pemba Kusini - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Chambani | Chokocho | Chumbageni (Pemba) | Kangani | Kengeja | Kisiwa Panza | Kiwani | Makombeni | Makoongwe | Mbuguani | Michenzani | Mizingani | Mkanyageni | Mtambile | Mtangani | Muambe | Ngombeni | Ngwachani | Shidi | Ukutini | Uweleni | Wambaa |
||